HELLO KARIBU WABASI PHONE SERVICE
Kwa simu yenye CPU ya SPD iliyokufa boot au inaganda na inayosumbua kupokea file tumia SPD Reserach sasa
Download sasa bure na uweze kuamsha simu yako
Kwanza kabisa hakikisha simu yako ni CPU ya SPD
Pia hakikisha file unalotumia liwe ni PAC file
pia hakikisha computer yako ina driver kamili za spd
kisha pakua HAPA software bure
kumbuka haihitaji box wala dongo ni driver tu
kama bado haujaona link gusa neno DOWNLOAD hapa chini
SPDResearchToolR7.0.0001 DOWNLOAD NOW FREE
fix boot dead
fix hang on logo
fix dead phone
etc;
kama utakwama namna ya kutumia wasiliana nasi bure whatsapp number 0652816716
utaelekezwa bure kabisa
endelea kufuatilia post mpya kila wakati
ASANTE NA KARIBU TENA WABASI PHONE SERVICE
WABASI MWAKAJE
Unapatikana wapi
ردحذفBuguruni Dar
حذفإرسال تعليق