SOLUTION mbalimbali za simu by wabasi mwakaje

 Yajue matatizo mbalimbali yanayotokea kwenye simu. pia ijue simu yako namna ya kuitumia vizuri kila siku inaoneka kama mpya kuanzia muonekano hadi matumizi


kwa aina yoyote ya simu kama kuna kipengele kinakushinda kutumia unaweza kuuuliza kupitia mawasiliano yaliyo katika page hii au kwa kutuma ujumbe wako Whatsapp kupitia +255652816716 pia ushauli natoa bure usiogope kuuliza popote ulipo DUNIANI.

YAFUATAYO NI AINA ZA MATATIZO NA NAMNA YA KUTATUA 

>>>>JINSI YA KUDHIBITI MB ZAKO PAMOJA NA NAFASI YA SIMU ( STORAGE)

Simu nyingi watu hulalamika kuwa akiwasha Data tu huanza kuji download picha na video kutoka kwenye Whatsapp bila yeye kupenda. sasa fuatilia Video hii ujue jinsi ya kudhibiti picha na video zinazo ji download bila wewe kutaka. usi left kwenye magroup kisa picha zao bali Tazama hapa namna ya ku set gusa hapa kutazama


>>>>JINSI YA KUTUMIA SIMU KUWASILIANA BILA KUTOA LOCK SCREEN

Watu wengi hutumia simu zao na inapotokea wamepata matatizo simu zao zinakuwa kazi kuzifungua ili kuwasiliana na ndugu zao sasa tazama kwa makini video hii ili uweze kujua namna ya kuset majina au namba za watu muhmu ili ikitokea umepata matatizo watu waweze kuwasiliana na namba hizo muhimu ulizoweka. mfano unaweza kupata matatizo kama vile ajali,kufa,kuzilai,kukamatwa na polisi,kupoteza simu na hata tatizo lingine linalofanana na hilo gusa hapa kutazama video namna ya kuweka namba muhimu. 

>>>>>DOWNLOAD Video Lan  (VLC) for windows 

 Play miziki na video mbalimbali kwa kutumia MEDIA PLAYER hii kwenye computer yako laptop au desktop GUSA HAPA ku download sasa na uendelee kufurahia 


Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post