No title

                      WABASI MWAKAJE TECHNICAL



KARIBU KATIKA UKURASA WANGU UPATE KUJIFUNZA MAMBO MBALIMBALI

OFISI ZETU ZIPO ILALA BUGURUNI GUSA HAPA KUJUA OFFICE ILIPO AU TUPIGIE 

+255652816716 NA INSTAGRAM @wabasi_mwakaje FACEBOOK wabasi mwakaje



NAFANYA KAZI ZIFUATAZO; 

...UFUNDI TV 

Natengeneza tv flati za aina zote kwa matatizo mbali mbali kama vile kuto kuwaka, kioo kupasuka,michilizi kwenye kioo, tv kutokua na sauti,tv kutokua na rangi nzuri na mengine mengi zaidi pia utapata na rimoti zake na nyaya zake za umeme




...UFUNDI COMPUTER

Kwa kompyuta zenye kila aina ya tatizo natengeneza hapa ofissini kwangu mfano kutokuwaka,kutokutunza chaji,kubali kioo,keybord,mounce,adapters,matatizo ya mtandao,matatizo ya sauti N.N

pia tunapiga windows mbalimbali na kuweka program tunauza na vifaa vyake kama HDD,RAM,VGA,SOUND CARD N.K Karibu sana WABASI TECHICAL




...UFUNDI SIMU 

Simu zenye matatizo yote tunatengeneza ha WABASI TECHINCAL kwa bei rafiki sana huduma hizi zipo za aina zote pia tunaflashi simu zenye matatizo na kutengeneza  mfano

kutokuwaka,kuto kujaza chaji matatizo ya maiki,spika,batani ,mwanga,betri,sauti,mtandao na mengine mengi njoo wasiliana nasi tukufanyie kazi yako

huduma hizi ni katika nyanja zote na maeneo yote 



                                                        ABOUT US

                             TEL   +255652816716

                             GMAIL  wabasimwakaje0@gmail.com

                             WEBSITE     wabasimwakaje.blogspot.com

                KARIBUNI SANA


Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post